Vibweta vya Mafuta (Oil Kit)

Sh70,000

In stock

Hutumika kubebea mafuta na mapadre wanapoenda kutoa huduma nje ya parokia hasa mpako wa wagonjwa.

  • Ina sehemu tatu za kuwekea mafuta (3 oil compartments)
  • Ni imara, hakipauki, hakipati kutu, hakichuji, hakivunjiki wala kuvujisha mafuta hata kikidondoka.
  • Urefu wa 7cm, Kipenyo cha 1.7cm
Compare
Be the first to review “Vibweta vya Mafuta (Oil Kit)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

oil kit

Vibweta vya Mafuta (Oil Kit)

Sh70,000

Add to Cart