Sanamu ya Bikira Maria wa Lurdi (100 cm)

Sh1,100,000

In stock

Sanamu kubwa ya Bikira Maria wa Lurdi.

  • Sanamu hii ni kubwa (100 cm) na huweza kukaa katika groto au kanisani, kwa ajili ya ibada mbalimbali za Bikira Maria.
  • Imetengenezwa kwa plastic ngumu (mfupa), hivyo ni ngumu ila nyepesi kubeba.

Zipo pia sanamu ndogo za aina hii kwa urefu wa 40 cm na 75 cm.

Compare

Mama Bikira Maria alikuwa akimtokea Mt. Bernadeta huko Lurdi, Ufaransa kuanzia tarehe 11 February to 16 July 1858. Wakati huo akiwa mtoto mdogo wa miaka 14. Alimtokea jumla ya matokeo (apparitions) 18, katika groto lililokuwa kijijini kwao.

Be the first to review “Sanamu ya Bikira Maria wa Lurdi (100 cm)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

Sanamu ya Bikira Maria wa Lurdi (100 cm)

Sh1,100,000

Add to Cart