Picha ya Yesu Kristu Mchungaji Mwema

$6.24

Picha ya Yesu Kristu akiwa amebeba mwanakondoo na wengine akiwachunga. Tunamwita mchungaji mwema kwakuwa hutafuta malisho mazuri ya kondoo wake (sisi) na kutulinda dhidi ya mbwa mwitu katika kila hali.

 • Picha hii imetengenezwa kwenye plastic ngumu kama kigae. Haibanduki, haipauki wala kuvunjika.
 • Urefu: 14 cm, Upana: 22 cm
Nunua

Product Description

Yohana 10:14-18

14 Mimi ni Mchungaji Mwema: ninawafahamu kondoo wangu nao wananifahamu, 15 kama vile Baba yangu anavyonifahamu na mimi ninamfahamu. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo. 16 Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili; nao pia itanibidi niwalete, nao wataisikia sauti yangu. Hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja. 17 Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”

 

Yesu Kristu ni mchungaji mwema, nasi kondoo wake tunaomfuata tu salama, atatulisha na kutulinda kwa uhai wake wote. Hofu ya nini tena?

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Picha ya Yesu Kristu Mchungaji Mwema”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Vendor Information

 • Store Name: PhiloMart Africa
 • Vendor: Maisha
 • Address: Kimara Mwisho
  Dar es Salaam
  Dar es Salaam
  16104
 • No ratings found yet!

REFUND POLICY:

If you are not satisfied with any product purchased through PhiloMart, contact us for a return authorization. All returned items MUST obtain a Return Merchandise Authorization (RMA) Number issued by us before returning. RMA number must be clearly written down on the box/package. Packages returned unauthorized will be refused.

The item return for a full refund must be those within 7 days from the day of delivery.

The item must be received back to PhiloMart, within 7 days from the delivery date will be refunded for the full cost of the item less original transport charges.

Customer is responsible for packaging and return transport charges.

All personalized jewelry and engraved items are made to order and are a final sale.

To return non-personalized jewelry items, email us at info@philomart.com or call us at +255 787 045 431 for a RMA number. Please include a brief note of the reason for your return, a copy of the Invoice with the return, and it is your responsibility to make sure the item is insured for the total cost when returning. Return transport expenses are to be paid by the customer.

PhiloMart is unable to accept any returned merchandise that has been altered, visibly worn, scuffed, scratched or marked in any way. All items must be in new, unused and resell-able condition. Exchanges will be credited for the full value of the returned item.

Returns received beyond 7 days from the date of purchase CANNOT be accepted and will be automatically returned to the sender.

Sale items or articles that have been purchased with a discount CANNOT be returned or exchanged.