Mt. Antoni wa Padua; Yajue Maisha Yake, na Utume wake: Mwombezi wa Vitu Vilivyopotea

Sh4,000

In stock

Kitabu hiki kimeeleza mtiririko wa maisha ya mtakatifu Antoni wa Padua, tangu kuzaliwa kwake, maisha yake utawani, miujiza yake, na wasifu wake kwa ujumla.

Pia kuna sala kwa heshima ya Mt. Antoni wa Padua na wimbo.

Compare

Mwandishi, Pd. Efrem Festo Msigala, OSA., anatupatia zawadi ya kitabu kizuri chenye maelezo ya kutosha kumhusu Mtakatifu Antoni wa Padua ambae kanisa linamtambua kama msimamizi  wa vitu vilivyopotea.

Kitabu hiki kinajumuisha mambo mbalimbali kumhusu kama;

  • Maisha yake ya awali (Mt. Antoni wa Padua),
  • Kuingia Utawani,
  • Utume wake na Ibada mbalimbali alizokua nazo hasa kwa Bikira Maria,
  • Urithi wake kwa Kanisa,
  • Sala kwa heshima ya Mt. Antoni wa Padua,
  • Wimbo wa Mt. Antoni wa Padua.

Kwa bei ya jumla ni Tshs. 2,500@ (kuanzia copies 50). Karibu!

Be the first to review “Mt. Antoni wa Padua; Yajue Maisha Yake, na Utume wake: Mwombezi wa Vitu Vilivyopotea”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

Mt. Antoni wa Padua; Yajue Maisha Yake, na Utume wake: Mwombezi wa Vitu Vilivyopotea