Mimbari ndogo ya Plastic ya rangi ya Kijani

Sh80,000

In stock

Mimbari (Pulpit) hii husaidia usomaji wa biblia, vitabu vya masomo, maombi, matangazo, n.k., wakati wa ibada.

  • Ni nyepesi kubeba (inahamishika), i.e., portable
  • Plastic iliyoitengeneza ni imara
  • Ina rangi nzuri ya kijani (green)
  • Inatosha kuwekea vitabu vikubwa kabisa kama vile vya masomo ya misa
  • Upana ni 40cm, Urefu ni 15cm

(zipo za rangi mbalimbali kama kijani, nyeupe na purple).

Compare
Be the first to review “Mimbari ndogo ya Plastic ya rangi ya Kijani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

mimbari

Mimbari ndogo ya Plastic ya rangi ya Kijani

Sh80,000

Add to Cart