Mashua ya kuwekea Ubani (Boat)

In stock

Mashua hii ni chombo kidogo ambacho hutumika kwa ajili ya kubebea ubani wakati wa maadhimisho wa misa takatifu. Huwa na kijiko kidogo kwa ajili ya kuchotea ubani na kuuweka kwenye chetezo.

 

Mashua hii (au Boat) imenakshiwa kwa rangi ya shaba (silver)

Compare
Be the first to review “Mashua ya kuwekea Ubani (Boat)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

Mashua ya kuwekea Ubani (Boat)