Mashati ya Mapadre & Mashemasi, Mikono Mirefu (Black)

Sh38,000

Mashati ya Meusi ya mapadre (na mashemasi).

 • Mikono mirefui (ya mikono mifupi pia yapo)
 • Yametengenezwa kwa mchanganyiko wa pamba na polista (35% cotton and 65% polyester)
 • Bei haijajumuisha kola. Kola ni Tshs 12,000/= (angalia hapa)
Clear
Compare

Mashati haya yapo katika sizes mbalimbali kutegemeana na ukubwa wa shingo (neck size) kama ifuatavyo:

 • 38 cm = 15 inches = S
 • 39 cm = 15.5 inches = M
 • 41 cm = 16 inches = L
 • 43 cm = 17 inches = XL
 • 44 cm = 17.5 inches = XL
 • 45 cm = 18 inches = XXL
 • 46 cm = 18.5 inches = XXL
 • 47 cm = 19 inches = 3XL
 • 48 cm = 19.5 inches = 3XL
 • 49 cm = 20 inches = 3XL

Ni imara kwani yametengenezwa kwa mchanganyiko wa pamba (35%) na polyster (65%)

 

Yanapatikana katika rangi mbalimbali kama hizi:

 • Nyeupe (White)
 • Nyeusi (Black)
 • Kijivu (Gray)
 • Blue Bahari (Light Blue)

 

Na katika muundo mbalimbali kama:

 • Mikono Mirefu
 • Mikono Mifupi

Additional information

Neck Size

38 cm, 39 cm, 41 cm, 43 cm, 44 cm, 45 cm, 46 cm, 47 cm, 48 cm, 49 cm

Be the first to review “Mashati ya Mapadre & Mashemasi, Mikono Mirefu (Black)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Main Menu

Mashati ya Mapadre & Mashemasi, Mikono Mirefu (Black)

Sh38,000

Add to Cart