-
Vibweta vya Mafuta (Oil Kit)
Hutumika kubebea mafuta na mapadre wanapoenda kutoa huduma nje ya parokia hasa mpako wa wagonjwa.
- Ina sehemu tatu za kuwekea mafuta (3 oil compartments)
- Ni imara, hakipauki, hakipati kutu, hakichuji, hakivunjiki wala kuvujisha mafuta hata kikidondoka.
- Urefu wa 7cm, Kipenyo cha 1.7cm
Sh70,000Vibweta vya Mafuta (Oil Kit)
Sh70,000