Karibu PhiloMart;
Duka la Bidhaa za Kikristu mtandaoni

PhiloMart inawaunganisha waandishi wa vitabu, watengenezaji wa bidhaa mbalimbali za dini pamoja na wateja wao Dunia nzima.

Kupitia PhiloMart wakatoliki na wakristu mbalimbali Tanzania na Afrika Mashariki kulingana na mahitaji yao ya sala, elimu, visakramenti, vifaa vya nyimbo na ibada, mavazi ya watawa, watumishi wa altare, wanakwaya, wasoma masomo, n.k., wanakutanishwa na wakristu wenzao wanaotengeneza na kusambaza bidhaa husika kupitia mtandao, bila kujali wilaya, mkoa au nchi ulipo.
Duka hili la mtandaoni linakuwezesha wewe muumini uliepo Bukoba (au popote pale duniani) kununua bidhaa yoyote ile ya dini kwa ajili yako au mpendwa wako kutoka maduka ya Dar es Salaam na kufikishiwa siku hiyo hiyo au inayofuata bila kutembea hata hatua moja (umbali si kikwazo tena).

“Uaminifu, Uharaka, Ubora na Unafuu ndio kauli mbiu zetu.”

Tunakuwezesha kununua bidhaa yoyote ya dini kupitia website yetu, na kukamilisha malipo yako kwa M-PESA, TIGOPESA, VISA, MASTERCARD, BANK DEPOSIT na CASH ON DELIVERY (Unalipia baada ya kupokea mzigo). Njia zote ni salama na rahisi zaidi kwa kutumia simu/computer yako
Kwa Dar es Salaam unaweza pokea mzigo wako ndani ya masaa 24, ila kwa mikoani ndani ya masaa 24-48.
Asanteni, na Karibu sana ofisini kwetu.
5000+

Jumla ya bidhaa zilizopo

39

Wauzaji waliopo sasa

9000+

Idadi ya waliokwisha nunua bidhaa

Safari ya PhiloMart tangu 2018

IMG_7584x100-min
June 2018
Wazo la duka la dini la mtandani kuzaliwa.
_PM PSD-min
August 2018
Kutengenezwa na kuanzishwa kwa website itakayokuwa ikifanya kazi kama duka la bidhaa za Kikatoliki mtandoni
IMG_2372-min
September 2018
Kuundwa kwa team ya PhiloMart kwa ajili ya kutekeleza mambo mbalimbali katika masuala ya uongozi, matangazo, fedha, n.k.
app100-min
January 2019
Kutengenezwa na kutambulishwa kwa Android Application ya PhiloMart
DSC04013-min
March 2019
Kutanua shughuli zetu na kuanza kuwatembelea waumini maparokiani na kwenye matukio mbalimbali ya Kanisa
export100-min
January 2020
Kuanza kutuma mizigo nje ya nchi kwa ufanisi na mara mbili kwa wiki. Kwa sasa tunatuma mizigo yetu mpaka nje ya Africa kupitia DHL & EMS

The Team Behind PhiloMart

Richard Maisha

CEO Founder

Lilian Charles

CFO, Co-Founder

Partners

Tunafanya kazi kwa ukaribu na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, na wauzaji wakubwa wa bidhaa za dini. Wafuatao ni baadhi:

Main Menu