• Free Delivery
  For all oders >Tshs 500k
 • 7 Days Return
  If goods have problems
 • Secure Payment
  100% secure payment
 • 24/7 Support
  Dedicated support

ROZARI YA BIKIRA MARIA MAMA WA MSAADA WA DAIMA

Namna ya kusali Rozari kwa Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima(Tumia rosari ya kawaida) Mwanzo, kwenye Msalaba: Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Kwenye chembe ndogo za awali:K: Ee Mungu utuelekezee msaada; W: Ee Bwana utusaidie hima W: Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,Kama mwanzo na sasa…

19 SEPTEMBA, 2020; JUMAMOSI: JUMA LA 24 LA MWAKA

Mt. Januari, Askofu na ShahidiKijaniZaburi: Juma 4 INJILI: Lk. 8: 1-3Yesu alikuwa akizunguka-zunguka katika miji na vijiji akihubiri na kuitangaza habari njema ya ufalme wa Mungu; na wale Thenashara walikuwa pamoja naye, na wanawake kadha wa kadha ambao walikuwa na pepo wabaya na magonjwa wakaponywa; nao ni Mariamu aitwaye Magdalene aliyetokwa na pepo saba, na…

BIKIRA MARIA MSAADA WA DAIMA
(Our Lady of Perpetual Help)

Picha hii ya Bikira Maria Msaada wa Daima ni moja wa picha za zamani sana na inafahamika kwa kuleta uponyaji na kutenda muijuza mingi kwa wote iliopita mikononi mwao. Historia kamili ya picha hii inaanzia karne ya 15. Picha hii ilikuwa ikitunzwa katika monasteri moja katika kisiwa cha Krete, Ugiriki (japokuwa kipindi hicho tayari ilikuwa…

Bikira Maria Mfungua Mafundo (Virgin Mary Untier/Undoer of Knots)

Ibada kwa Bikira Maria Mfungua Mafundo ina zaidi ya miaka 300 japo imekuja kufahamika na kuenea sana kipindi cha uongozi wa Papa Francis I, na kipindi akiwa Askofu Mkuu wa Buenos Aires, Argentina.Papa Francis aliiona picha ya Bikira Maria Mfungua Mafundo na kuifahamu ibada yake kipindi yupo masomoni Ujerumani, katika kanisa la Mt. Petro (i.e.,…

Main Menu